Dickson Hizza

YPM Peace Clubs

YPM Peace ClubAfisa Mazingira na Utetezi wa YPM Bi. Lidya Wilson Mshemu akiambatan na vijana wanaojitolea ambao ni Ndug. Tahona Godfrey Walalaze na Ndug. Eric Daniel Godson wametembelea YPM Peace
Read More

YPM Stakeholders Meeting

Kikao na wadau wa maendeleo wa YPM ambao ni walimu walezi wa klabu za kusimamia na kuleta amani mashuleni. YPM stakeholders meeting with YPM Peace Clubs Guardians in schools.
Read More

Stop Poverty Final

YPM imehitimisha mashindano ya Stop Poverty Cup Football League huko wilayani Mkinga mkoani Tanga. Mshindano haya yalipambwa na jumbe mbalimbali zikisomeka katika mabango na kuelezewa vizuri na Afisa michezo kwa
Read More

SIGs follow-up and Training

Mnamo mwezi wa Tisa 09 na 10 mwaka huu YPM, iliongozwa na Meneja Miradi na Afisa  wa mpango wa  Kutokomeza Umaskini, Bwana Peter Jally, iliweza kutembelea vikundi vya kijamii vya
Read More

TIMUN 2021-Zanzibar

Youth Peace makers Tanzania has set 5 young people to participate in the Tanzania Model United Nation 2021. The aims were to provide in-depth knowledge on SDGs through sharing of
Read More

The Mkinga Stop Poverty Cup

Taasisi ya YPM imeendelea kuendesha mashindano ya Mkinga Stop Poverty Cup Football league yanayofanyika kila mwaka katika Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga. Mashindano haya yameleta manufaa makubwa sana katika jamii
Read More

Shambalai Sec Peace Club

Shambalai Sec School Peace Club Leo taasisi ya YPM imepata nafasi kushiriki siku ya vijapaji Katika shule ya upili Shambalai nakujionea vipaji vya uimbaji, uigizaji, mitindo, skauti, nyimbo na maigizo
Read More

The International Youth Day

                                    MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA KIMATAIFA Siku ya vijana duniani ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 1999 na kuidhinishwa mwaka 2000. Lengo la siku hii ni kuhamasisha uangalizi
Read More