Halimashauri ya Wilaya Korogwe Mji iliandaa Mkutano wa Kuwakutanisha Wadau wa Maendleo.Mkutano huo uliofanyika tarehe moja ya mwezi Machi mwaka huu ambapo takribani mashrika nane(8) yasio ya Kiselikali na ya Kijamii yalikutana Korogwe Tanga kwaajili ya kushauriana juu ya uhusiano wao katika utekelezaji wa kazi zao katika Wilaya hiyo pamoja na kuelezana kuhusu Sheria ya Mashirika ya sio ya Kiserikali na ya kijamii ya mwaka 2019. Katika mkutano huo YPM iliwakilishwa na Meneja Miradi Bwana Peter Jally pamoja na Afisa Miradi wa YPM Bwan Francis Kamote.
Korogwe Distric Township Council prepared Development Stakeholders Meeting. The meeting was held on 1st March 2021 where by almost 8 Non Governmental (NGOs) and Civil Society Organizations(CSOs) gathered at Korogwe Districts in Tanga region. The meeting firstly aimed at strengthening their relationship and secondly to discuss Non-Governmental Organization Act of 2019. In this meeting YPM was represented by Program Manager Mr. Peter Jally and Program Officer Francis Kamote.