Umwagiliaji wa matone.
YPM kupitia kitengo cha uwezeshaji kiuchumi imeendesha semina ya umwagiliaji wa matunone ilikutatua changamoto ya ukame inayoikumba taifa letu ambalo linategemea kwa kiasi kikubwa kilimo cha mvua.Mafunzo hayo yamehusisha Vikundi vya Watoa Hunduma Ndogo za Fedha (SIGs) ambao waliopata mafunzo watarajiwa kuwafundisha wengine nakutumia utaalamu waliopata ili kujiletea maendeleo.