Wanavikundi wa Peace Makers VICOBA (PM VICOBA) wakiwa katika ziara ya siku tatu ya maonyesho ya nane nane yaliofanyika mkoa wa Morogoro. Ziara hii iliandaliwa na taasisi ya vijana waleta amani Tanzania ili wanavikundi hao waweze kujifunza ujasiriamali kilimo na kilimo chakisasa kwa maendeleo ya kiuchumi. Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.
PeaceMakers VICOBA (PM VICOBA) members celebrated the Nane nane exhibition ( farmers day) in Morogoro Tanzania. The arrangement of a visit was prepared by Youth Peace Makers Tanzania with the aim of enhancing VICOBA members to learn agricultural entrepreneurship and how they can use modern agricultural methods to increase quantity and quality of agricultural products for economic development.