Open hours: 8.30-17.00 Mon-Fri
Call Us +255 (0) 272660017 info@youthpeacemakers.or.tz
Youth Peace Makers
  • Home
  • About Us
  • Blog
  • Our Team
  • Job Vacancy
  • CONTACT
  • Home
  • -
  • General
  • -
  • Youth Change Summit

Youth Change Summit

  • By: Peace Maker
  • July 12, 2022
  • Comments off
  • General

Imeelezwa kua tatizo la afya ya akili ni moja ya sababu ambayo imekuwa ikipelekea jamii kuwa na uwezo mdogo wa kubuni na kukabiliana na changamoto za kimaisha na hatimaye kushindwa kuyafikia maendeleo yaliyokusudiwa.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Dokta Godwin Mollel katika kongamano la Afya ya akili lilowakutanisha vijana mkoani Kilimanjaro.

Dokta Mollel amesema katika kukabiliana na changamoto za afya ya akili serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya afya ikiwa ni pamoja na huduma ya mama na mtoto huku akiitaka jamii kujikita katika matumizi sahihi ya lisha bora hususani kwa watoto waliochini ya umria wa miaka mitano ili kuwa na kizazi chenye ubunifu katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi.

Akizungumza na na watu waliohudhuria Mkurugenzi wa Taasisi ya vijana waleta Amani Tanzania (Youth Peace Makers Tanzania) Mch.Godfrey Walalaze amesema kongamano hilo limelenga kufikisha elimu kwenye jamii juu ya masuala yanayohusu afya ya akili.

baadhi ya vijana ambao wameshiriki katika kongamano hilo wamesema kupitia elimu waliyoipata wanaenda kuwa mabalozi wazuri kwa kutoa elimu kwenye jamii hasa kwa vijana wenzao.

It has been pointed out that the mental health problem is one of the factors that has led the community to be less able to design and cope with life’s challenges and ultimately fail to achieve the intended development.

This was stated by the Deputy Minister of Health Dr. Godwin Mollel at Youth Change Summit with a theme ‘The Rapid Emergence of Mental Problems in the Community’’ that was hosted by Youth Peacemakers Tanzania through its Youth Peacemakers Forum in Kilimanjaro Tanzania.

Dr. Molell said in response to the mental health challenges the government has continued to improve health facilities including maternal and child care while urging the community to focus on proper nutrition management especially for children under the age of five to have a generation with children who grow up with innovative ideas in various fields including science and technology.

Speaking to the audience, Rev. Godfrey Walalaze, Director of the Youth Peacemakers Tanzania, said the summit was aimed at educating the community on issues related to mental health.

Some of the young people who have participated in the summit said that through the education they have acquired they are going to be good ambassadors by providing education in the community especially to their fellow young people.

visit http://www.norec.no

prev post next post

Related Posts

NOREC

August 14, 2023

International Youth Day

August 12, 2023

Second Quarter Newsletter

July 4, 2023

Recent Posts

  • NOREC
  • International Youth Day
  • Second Quarter Newsletter
  • Call for Proposal: Youth Peacemakers Tanzania Strategic Plan from 2024 – 2028
  • World Environmental Day

Archives

  • August 2023
  • July 2023
  • June 2023
  • May 2023
  • April 2023
  • March 2023
  • February 2023
  • January 2023
  • December 2022
  • October 2022
  • September 2022
  • August 2022
  • July 2022
  • June 2022
  • May 2022
  • April 2022
  • March 2022
  • February 2022
  • December 2021
  • November 2021
  • October 2021
  • September 2021
  • August 2021
  • July 2021
  • June 2021
  • May 2021
  • April 2021
  • March 2021
  • February 2021
  • January 2021
  • December 2020
  • November 2020
  • September 2019
  • August 2019
  • March 2019
  • February 2019
  • January 2019
  • October 2018
  • September 2018
  • August 2018
  • June 2018
  • May 2018
  • March 2018
  • February 2018
  • December 2017
  • November 2017
  • July 2017
  • June 2017
  • May 2017
  • July 2016
  • June 2016

Categories

  • Advocacy & Environment
  • Economic Justice
  • General
  • Sports & Games

OUR ORGANIZATION

  • Home
  • About Us
  • Blog
  • Our Team
  • Job Vacancy
  • CONTACT

FRIENDS & SPONSORS

Yglobal
Lushoto District Council,Tanga Region
Valdres FHS
Sandefjord Sykleklubb
Sunnmore Folkehoyskole
Haugeland KFUM KFUM
Oslo KFUM-EKEBERG
Sunnfjord FHS

CONTACT INFORMATION

Youth Peace Makers Tanzania
P.O Box 395,Lushoto,Tanga
Email: info@youthpeacemakers.or.tz
Phone: +255 27 666 0017

NEWSLETTER

Subscribe now and receive quarterly newsletter with interesting posts, success stories and much more!

Staff Mail
Copyright © 2023 Youth Peace Makers. All Rights Reserved.