YPM inayofuraha kupokea ugeni wa vijana wanaosimamia Jukwaa la Vijana Waleta Amani Tanzania. Vijana hao wa tano niwawakilishi wa vijana wengine kutoka katika Chuo cha afya Machame. Vijana hawa wanaendesha kampeni mbalimbali zinazolenga kuleta mabadiliko chanya katika jamii wakijikita zaidi katika Malengo Endelevu ya dunia hususa ni lengo namba tano (5) Usawa wa kijinsia na lengo namba kumi na tatu (13) Kuchukua tahadhari juu ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Ni furaha kwetu kuona vijana wanakua mstari wa mbele katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii zao, taifa na dunia kwa ujumla
YPM is delighted to receive a visit from the youth who run the Youth Peace Makers Forum under Youth Peace Makers Tanzania. The five young women and men are representatives of other young people from Machame College of Health. These young people are running various campaigns aimed at bringing about positive change in society focusing more on the Sustainable Development Goals specifically the goal number five (5) Gender equality and goal number thirteen (13) climate action to tackle climate change.
It is a pleasure for us to see young people take the lead in bringing about positive change in their communities, nation and the world at large.