YPM kushirikiana na Taasisi ya Madeni na Maendeleo Tanzania TCDD(Tanzania Debt and Development) imeendesha mafunzo juu ya ukaguzi wa Kijamii kwa wananchi wa Kata ya Ngulwi. Baada ya mafunzo hayo wanachi wameunda kamati ambayo itahusika katika ufuatiliaji wa Mradi wa maji katika Kata hiyo unao simamiwa na RUWASA.

YPM in collaboration with the Tanzania Debt and Development (TCDD) has conducted training on Social Audit for the citizens of Ngulwi Ward. After the training, the citizens have formed a committee that will be involved in the Auditing of the Water Project in the Ward. The project is being implemented by Tanzania government through RUWASA.
