Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani wilayani Lushoto yaliofanyika kijiji cha Kwekanga yalijumuisha kila mtu kutoka ngazi mbali mbali za jamii yakiwa na kauli mbiu inayosema “Mshikamano wa kimataifa, Tuwajibike kwa pamoja”.
Ni wajibu wa kila mmoja kumlinda mwenzie ili kuzuia maambukizi ya gonjwa hili linalozidi kutesa Taifa letu kwa ujumla. #hivday2020
The World AIDS Day celebrations in Lushoto district held in Kwekanga village included everyone from all walks of life with the motto “International solidarity, Let us take responsibility together”.
It is the duty of everyone to protect the other to prevent the transmission of this disease increasingly afflicting our nation as a whole.