Kuanzia tarehe 9 mpaka 11 of February, Meneja Miradi na Afisa Mazingira, Utetezi na Michezo walitembelea Wilaya ya Korogwe kwajili ya Kutambulishwa kwenye ofisi za Serikali za kata na kijiji. Sambamba na hilo walitembelea vikundi mbalimbali vya VICOBA ili kuwatia moyo na kuwasaidia namna ya kutatua changamoto zao. Memeja Miradi ambae pia ni Afisa Uwezeshaji Kiuchumi aliwasisitiza wanavikundi kutumia huduma za kibenki kama njia salama ya kutunza fedha zao. zaidi ya hayo aliwaeleza wana vikundi fulsa mbalimbali za kijasiliamali ambazo taasisi inawapa wanavikundi wake.
From 9th to 11th of February, YPM program Manager and Program Officer for Environment, Advocacy and Sports visited Korogwe District for Introduction at the ward and village government offices. Along with that they visited various VICOBA groups to encourage them and help them figure out how to solve their challenges. Project Manager who is also the Program Officer for Economic Empowerment urged group members to use banking services as a safe way to manage their finances. In addition, he explained to the members of the various entrepreneurial opportunities that the Organisation offers to its members.