Blog

TCDD General Assembly

Muungano wa Tanzania wa Madeni na Maendeleo (TCDD) ambapo YPM ni mwanachama ilifanya mkutano wa Mwaka mjini Dodoma kujadili masuala yanayohusu madeni na Maendeleo nchini Tanzania. YPM kama mwanachama iliwakilishwa
Read More

LUSCO Meeting

Mwenyekiti wa Asasi ya Kiraia ya Lushoto(LUSCO) Mch. Godfrey Tahona Walalaze akizungumza kwenye Mkutano wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto. Mkutano huo uliohudhuriwa na mgeni
Read More

Mkutano Mkuu wa Mwaka 2023

Mkutano Mkuu wa Mwaka 2023 Mkutano mkuu wa Taasisi ya YPM Tanzania wenye lengo la kutathmini maendeleo ya taasisi, umefanyika katika ukumbi wa Utondolo tarehe 15 Aprili 2023, ukihudhuriwa na
Read More

SIGs Facilitators Training

Mafunzo kwa wawezeshaji wa vikundi vidogo vya kijamii vya huduma ndogo za fedha (SIGs) yamefanyika katika viwanja vya taasisi ya YPM Tanzania kuanzia tarehe 23 hadi 24 mwezi Machi 2023
Read More

Ujasiriamali wa kutengeneza sabuni

Mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo Mafunzo ya ujasiriamali wa kutengeneza sabuni ya maji kwa vitendo yamefanyika tarehe 10 mwezi Machi 2023 katika Shule ya Sekondari ya Prince Claus (SSPC), yakiendeshwa
Read More

Women Day 2023

Mh. Sekiboko: Wanawake tumieni teknolojia kujiendeleza Mh. Husna Sekiboko, Mbunge wa viti maalumu CCM mkoa wa Tanga, ambaye ni mgeni rasmi, ameambatana na mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mh. Ekalisti
Read More

Peace Club Debate

Malumbano ya Hoja Malumbano ya mdahalo yenye lengo la kukuza matumizi ya lugha ya kiingereza kwa wanafunzi wa shule za sekondari za Shambalai na Ubiri ulifanyika katika viwanja vya shule
Read More

Climate Action SDG 13

YPM delegation to the Climate Change Animation Film Launch: Kijana Kijani at Aura Mall Century Cinema, Dar es salaam. YPM congratulates @Tai Tanzania and @Netherlands Embassy on this great success
Read More
Say NO TO Early Marriage

World AIDs Celebration

Leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani kauli mbiu ya mwaka huu ni IMARISHA USAWA Kauli mbiu hii inasisitiza kuimarisha USAWA katika maeneo yote katika jitihada za
Read More