Today was a great day where we were able to talk about S2C,SDGs raise awareness to stop Early marriage and Pregnancies with Kitala secondary peace club here at Lushoto Tanga.
We are looking forward for more interesting and engaging sessions.
Leo Tumepata nafasi ya kuzungunmza na vijana wetu wa klabu ya amani ya shule ya sekondari Kitala hapa wilayani Lishoto. Tumekua na mazungumzo mazuri juu ya malengo endelevu ya dunia, elimu ya kujitambua na kukuza uwelewa juu ya kutokomeza ndoa na mimba za utotoni.