Waratibu wa Ndani Watoa Maoni Muhimu Kuhusu Utafiti wa Maendeleo ya Vikundi vya SIGs
Youth Peacemakers Tanzania (YPM) imejumuisha waratibu wa ndani wa Vikundi vya Akiba na Mikopo ya Ndani (SIGs) ili kukusanya maoni...
Youth Peacemakers Tanzania (YPM) imejumuisha waratibu wa ndani wa Vikundi vya Akiba na Mikopo ya Ndani (SIGs) ili kukusanya maoni...
Youth Peacemakers Tanzania (YPM), kwa kushirikiana na CHRISC, imeendesha mafunzo ya kipekee kwa makocha wa mpira wa miguu na walimu...
Youth Peacemakers Tanzania (YPM), kwa kushirikiana na Christian Sports Contact Tanzania (CHRISC), wamezindua mpango wa mafunzo ya ualimu wa michezo...
Mashine ya shughuli za kilimo ya Kikundi cha "Lengo Letu" imefanyiwa marekebisho na sasa ipo tayari kutumika. Kwa marekebisho madogo...
Imekuwa wiki ya mafanikio makubwa kwa YPM, kwani mafunzo ya football coaching yameanza kwa kishindo na ushiriki wa washiriki wengi...
Mkuu wa Mkoa Mh. Batilda Buriani akimvisha medali ya ushindi Moses Kazula mwakilishi kutoka taasisi ya YPM, baada ya kuibuka...
Safari ya Mafanikio na Maendeleo Agosti 31, 2024 - Lushoto, Tanga Youth Peacemakers Tanzania (YPM) imetimiza miaka 10 ya uwepo...
Katika juhudi za kina za kutathmini athari zake kwa muongo mmoja uliopita, Youth Peacemakers Tanzania (YPM) imefanya ufuatiliaji wa wiki...
Mkutano wa Asasi zinazosimamia Ufuatiliaji wa Matumizi ya Rasilimali za Umma Youth Peacemakers Tanzania imejumuika na asasi mbalimbali za kiraia...